新闻媒体

News

新闻媒体 新闻媒体

304永利-Habari za UN

发布日期:2026-01-13 12:16:12

António Guterres, ambaye ni mwandishi wa Umoja wa Mataifa, anazungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari kwenye Jumba la Makumbusho la Umoja wa Mataifa huko New York. Iran: UN yashangazwa na ripoti za vurungu na matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya waandamanaji

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa AntónioGuterres ameshangazwa na ripoti za vurugu na matumizi makubwa ya nguvu yanayofanywa na mamlaka ya Iran dhidi ya waandamanaji katika maeneo mengi nchini humo, na kusababisha vifo vingi na majeraha mengi zaidi katika siku za hivi karibuni.

Safia Jama, mzaliwa wa nchini Somalia na kiongozi wa diaspora anayeishi nchini Uingereza, ametumia zaidi ya miongo miwili kuwaunga mkono wanawake na familia kupitia juhudi zinazoongozwa na jamii. Safari yake ya kujitolea ilianza mapema, aliposhuhudia mshikamano wa wanawake katika jamii yake baada ya familia yake kuwasili jijini London katika miaka ya 1980. Mangasa Kijera akitayarisha kifungua kinywa nyumbani kwake Kerewan Nyakoi katika Mkoa wa Upper River nchini Gambia. Mradi wa UNEP umesaidia wakulima Gambia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ili kuzuia wimbi la vijana wanaoondoka nchini.

Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa tishio kubwa kwa wakulima wadogo katika maeneo ya mashariki mwa Gambia, ambapo ukame, dhoruba kali na 妹妹omonyoko wa ardhi vimeathiri uzalishaji wa chakula na kipato cha jamii. Kupitia mradi unaoendeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira (UNEP) kwa usaidizi wa Green Climate Fund, wakulima wamepata mafunzo na msaada wa kitaalamu unaowezesha uzalishaji endelevu na kuongeza ustahimilivu dhidi ya athari za tabianchi. Hadithi hii inaangazia safari yao ya mabadiliko kutoka changamoto hadi mafanikio wakijenga mustakabali bora kupitia kilimo kinachohimili mabadiliko ya hali ya hewa.

Michango kwa bajeti ni kwa mujibu wa Chata ya UNUN kuendelea kutekeleza majukumu inayopatiwa na nchi wanachamaUN ina wajibu ya kuhudumia wahitaji Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inasema ukuaji wa uchumi duniani unatarajiwa kukua kwa asilimia 2.7 mwaka 2026, kiwango ambacho ni chini kidogo ya asilimia 2.8 iliyokadiriwa mwaka 2025, na vile vile chini kidogo ya kiwango cha asilimia 3.2 cha kabla ya janga la COVID-19.-304永利

当前位置: 首页->新闻媒体->企业动态
TOP